BEI NAFUU ZAIDI

Vifurushi vya Ujenzi

Chagua kifurushi kinachokufaa na uanze mradi wako leo. Bei zetu ni nafuu na ubora ni wa uhakika

Dhamana Miaka 5
Usafiri Bure
Kwa Wakati
Shimo Moja
POPULAR

Shimo Moja

1,000,000/= 1,200,000/=
  • Shimo moja tu la duara
  • Urefu futi 7-10 kina na upana futi 4-5
  • Kwenye ardhi ya kichanga na familia ya watu 5-7
  • Eneo dogo la kiwanja
  • Hudumu miaka 10-15
Mashimo Mawili
BEST VALUE

Mashimo Mawili

1,400,000/= 1,500,000/=
  • Mashimo mawili (shimo la duara na la mawe)
  • Shimo la duara futi 7-10 kina na upana futi 4-5
  • Shimo la mawe ni futi 6-8 kwa 4 mapana na marefu
  • Taasisi, apartment, mashule, misikiti
  • Hudumu miaka 15-20
Mashimo Matatu
PREMIUM

Mashimo Matatu

2,000,000/= 2,500,000/=
  • Mashimo matatu (mawili ya duara na la mawe moja)
  • Shimo la duara futi 7-10 kina na upana futi 4-5
  • Shimo la mawe ni futi 6-8 kwa 4 mapana na marefu
  • Taasisi, apartment, mashule, misikiti
  • Hudumu miaka 20+
CUSTOM

Customize/Jipimie

Kulingana na mahitaji yako

  • Kutokana na matumizi yako
  • Lipia material lipia ufundi
  • Tathmini ya mtaalam bure
  • Design ya kipekee

Uko Tayari Kuanza?

Wasiliana nasi sasa na upate quotation ya bure ndani ya masaa 24