shimoze

Tafadhali fungua kwenye simu au tablet

Tovuti hii imeboreshwa kwa vifaa vya mkononi pekee

shimoze

Ujenzi wa Kisasa #1 Tanzania

Mashimo ya Kisasa
Yanayodumu

Tunajenga mashimo ya kisasa yanayotumia teknolojia ya hali ya juu kuhakikisha hayaajai haraka na yanaokoa gharama zako kwa miaka mingi.

5+
Miaka ya Uzoefu
500+
Wateja
100%
Uhakika

Kwa Nini shimoze?

Tunatoa suluhisho bora la mashimo ya kisasa

AINA ZA MASHIMO

Chagua Aina ya Shimo

Bonyeza kuona maelezo kamili

Shimo la Duara

Shimo la Duara

Shimo moja tu

Angalia Zaidi
Mashimo Mawili

Mashimo Mawili

Duara + Mawe

Angalia Zaidi
Shimo la Mawe

Shimo la Mawe

Mawe pekee

Angalia Zaidi
BEI NAFUU

Vifurushi vya Ujenzi

Chagua kifurushi kinachokufaa

Shimo Moja

Shimo Moja

1,000,000/= 1,200,000/=
  • Shimo moja tu
  • Urefu futi 7-10 kina na upana futi 4-5
  • Kwenye ardhi ya kichanga na familia ya watu 5-7
  • Eneo dogo la kiwanja
Mashimo Mawili

Mashimo Mawili

1,400,000/= 1,500,000/=
  • Mashimo mawili (shimo la duara na la mawe)
  • Shimo la duara futi 7-10 kina na upana futi 4-5
  • Shimo la mawe ni futi 6-8 kwa 4 mapana na marefu
  • Taasisi, apartment, mashule, misikiti
Mashimo Matatu

Mashimo Matatu

2,000,000/= 2,500,000/=
  • Mashimo matatu (mashimo mawili ya duara na la mawe moja)
  • Shimo la duara futi 7-10 kina na upana futi 4-5
  • Shimo la mawe ni futi 6-8 kwa 4 mapana na marefu
  • Taasisi, apartment, mashule, misikiti

Customize/Jipimie

Kulingana na mahitaji yako

  • Kutokana na matumizi yako
  • Lipia material lipia ufundi
  • Tathmini ya mtaalam bure
SHIMO FEED

Miradi Yetu

Angalia kazi tulizofanya

Project 1
SM

Shimo la Kisasa #1

Dodoma • Wiki 2 zilizopita

Ujenzi wa shimo la duara futi 10 kwa familia ya watu 8. Halijai kwa miaka 15+

248
Project 2
MM

Mashimo Mawili #2

Dar es Salaam • Siku 5 zilizopita

Mradi wa apartment - mashimo mawili ya kisasa. Duara na mawe kwa wakazi 20+

189
Project 3
M3

Mashimo Matatu #3

Arusha • Wiki 1 iliyopita

Mradi mkubwa wa shule - mashimo 3 ya kisasa. Huduma kwa wanafunzi 500+

324

Track Project

Tunasimamia mradi wako miaka

Epuka kupoteza namba ya fundi wako

Sasa shimoze ina database firebase za miradi yote ivo tunafuatilia mradi wako kwa miaka mingi.Inakua rahisi kuitrack kwa issue ya dharura na tunatoa huduma za dharura na matengenezo wakati wowote unapohitaji.

Huduma za dharura 24/7
Matengenezo bure kwa miaka 4
Taarifa za hali ya shimo lako
Ushauri wa kitaalamu kila wakati

Kwa Nini Utuchague

Track project kipindi chote cha matumizi yako

Tunafuatilia mradi wako na kutoa huduma za kudumu

Trusted & Certified

Tunauzoefu wa muda mwingi tangu 2021 katika tasnia hii

Hayajai Haraka

Mfumo wa kisasa unafanya shimo lidumu kwa miaka 15+ bila kujaa

Dhamana ya Miaka 5

Tunatoa dhamana na matengenezo bure kwa miaka 4

Hakuna Harufu

Teknolojia ya hivi karibuni inazuia harufu kabisa

OFISI ZETU

Tunapatikana

Dodoma na Dar es Salaam, kwa mikoa yote tunafika

Pakia Ramani ya Nyumba Yako

Tupatie ramani ya kiwanja chako na tukupe quotation kamili ndani ya masaa 24. Utaipata kwenye Message Page

Taarifa zako ziko salama na siri